Pata taarifa za hivi punde na matangazo muhimu ndani ya klabu yetu.
Habari! Tunapenda kuwajulisha kuwa matengenezo na maboresho ya mfumo wetu (Website/Subsystem) yamekamilika kikamilifu leo.Lengo la maboresho haya ilikuwa ni kuongeza kasi, ulinzi (SSL), na ufanisi wa huduma tunazokupatia ili ufurahie matumizi bora zaidi.Mfumo upo hewani sasa na mnaweza kuingia kwenye akaunti zenu na kuendelea na shughuli zenu kama kawaida. Kama utakutana na changamoto yoyote, tafadhali wasiliana nasi haraka.Ahsante kwa uvumilivu na ushirikiano wenu! 🤝